Friday, July 25, 2014

ALLY KIBA ARUDI KATIKA GAME YA MUZIKI KWA KISHINDO, SIKILIZA NYIMBO ZAKE KALI HAPA

ALI Kiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja na moja inaitwa “Mwana” na nyingine “Kimasomaso”.
Staa huyu kama mkali wa hit single kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele lakini unaambiwa Cinderela ndio wimbo mwingine ambao mpaka sasa una rekodi ya kuuza copy nyingi Afrika Mashariki mwaka 2008.
Sehemu ya mafanikio yake mengine ni pamoja na kushinda tuzo mwaka 2012 best Rhumba/ Zouk ya “Dushelele” kwenye tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. (KTMA).

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI