Monday, June 23, 2014

'VYONE SANGUDI' NYOTA TOKA TANZANIA ANG'AAYE MAREKANI KAMA TANZANITE

MUIMBAJI Mtanzania aishiye Los Angeles, Marekani Yvonne Sangudi ameachia video ya wimbo wake uitwao ‘Tanzanite’.
Yvonne Sangudi kwa sasa yuko nchini Tanzania na tayari ameshafanya mahojiano na baadhi ya vituo vya Radio na TV.
"Kwa ujio wa nyimbo hii hakika italeta mageuzi katika soko la muziki wa kitanzania hasa nchi za nje, kwani utaleta changamoto kwa wasanii wetu wa kibongo kufikiria zaidi kufanya muziki ili ukubarike kimataifa". amesema shabiki mmoja wa muziki wa Bongo Fleva alipoitazama video hiyo.

Producer: Eclat Media Enterprises,inc
Director of Photography: Alexander Nikishin
Edited by Marc Hall,
Directed by Kevin Boston,
Post Production: Kappa Studios-Hollywood, CA
Filmed at Notion Studios – Los Angeles, CA
Itazame video hapa!!!


0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI