Tuesday, June 3, 2014

TAZAMA UMATI WA WATU ULIYOJITOKEZA KUUAGA MWILI WA MTOTO NASRA

....Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra
 
Wanafunzi wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro…
(PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL, MOROGORO)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI