Saturday, June 21, 2014

RIHANNA AONYESHA MAPENZI YA WAZI KWA MCHEZAJI WA GHANA KEVIN-PRINCE BOATENG, KUPITIA TWITTER

http://lascandaleuse.com/wp-content/uploads/2014/06/rihanna-Kevin-Prince-Boateng-twitter-La-Scandaleuse-cover.jpg
RIHANNA amzimikia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng. Ambapo kupitia Twitter, Rihanna alisema kuwa kutokana na mchezaji huyo anayekipiga pia FC Schalke 04, amejikuta mshabiki wa Ghana ilipokuwa ikicheza na Marekani.
Hata hivyo huenda Riri aliangushwa na timu hiyo baada ya kufungwa bao 2-1. 
http://2.bp.blogspot.com/-E139v43Vi1s/U5_4p-JXdnI/AAAAAAAACS0/PiA3hHTUJpU/s1600/IMG_20140617_091257.jpg

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI