Sunday, June 1, 2014

MWIGIZAJI BRAD PITT ASHAMBULIWA

Mwigizaji Brad Pitt ambaye ameshambuliwa usoni na mtu asiye mfahamu.
Mwigizaji Brad Pitt ambaye ameshambuliwa usoni na mtu asiye mfahamu.
MWIGIZAJI Brad Pitt ameshambuliwa usoni na mtu asiefahamika huko Marekani wakati wa premier movie ya mpenzi wake Angelina Jolie.
Shambulio hili ambalo halijamuumiza lilifanywa wakati akisaini autographs kwa mashabiki wake mbalimbali waliojitokeza kwenye tukio hilo ambapo muda mfupi baadae Polisi walimpiga pingu mtuhumiwa na kuondoka nae.
Kwa mujibu ya mashuhuda wamesema jamaa aliefanya shambulizi hili alitokea kwenye upande wa mashabiki.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI