Sunday, June 29, 2014

MWANDISHI WA KIKE AVUA NGUO KUSHANGILIA BAO LA SANCHEZ

MWANDISHI wa habari wa kike wa Chile, Jhendelyn Nunez alivua blauzi yake na kubaki na sidiria kushangilia bao la mshambuliaji Alexis Sanchez alilofungia timu yake jana la kusawazisha katika mchezo wa 16 Bora ya Kombe la Dunia dhidi ya Brazil.
Mwandishi huyo alifurahi mno Sanchez aliposawazisha bao baada ya David Luiz kuifungia Brazil bao la kuongoza.
Bahati mbaya kwao Chile wakafungwa kwa penalti 3-2 baada ya sare hiyo ya 1-1. 
Kimwana aliamua kufurahia bao kwa kuvua blauzi.
Bonge la shoo: Bahati mbaya starehe yake ilikatishwa na Chile kufungwa kwa penalti
Not so fun: Sanchez's celebration was rather more PG on the pitch than the journsalist's outside the ground
Sanchez pamoja na kuisawazishia Chile jana, ni miongoni mwa wachezaji waliokosa penalti

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI