Sunday, June 1, 2014

MAYWEATHER AMLIPA NICKI MINAJ MILIONI 81 KUONEKANA KWENYE BIRTHDAY

Nick Minaj akiwa na Iyanna mtoto wa
NickI Minaj akiwa na Iyanna mtoto wa Mayweather.
Floyd Mayweather amemlipa NickI Minaj kiasi cha shilingi milioni 81 kuonekana tu kwenye Birthday ya binti yake mwenye umri wa miaka 14.
Mayweather alikodi uwanja mzima wa MGM mjini Las Vegas kusherekea birthday hiyo. Mwanamuziki NickI Minaj alikaa kwa takribani saa moja ambapo alipiga picha ya pamoja na Iyanna mtoto wa Mayweather.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI