Sunday, June 22, 2014

CHRIS BROWN AMSIFIA GF WAKE KARUCHE " SHE IS REAL ONE"

INAVYOONEKANA katika maisha ya Chris Brown angalau kuna mschana mmoja ambae ni LOYAL kwake.
Chris Brown amepost picha hiyo hapo juu na kutupia ujumbe uliofunika picha hiyo kwa mapenzi mazito kwa kumsifia kuwa yeye ndio wa ukweli
"She is Real One" aliandika Chris Brown.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI