Tuesday, May 20, 2014

MWILI WA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS JIJINI DAR

MSANII wa filamu za maigizo nchini kutoka kambi ya Bongo Muvi, aliyejizolea umaarufu miaka ya hivi karibuni, Adam Kuambiana anatarajia kuzikwa leo Mei 20, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alipozikwa msanii mwenzake, Steven Kanumba.
Kwa sasa mwili wa Marehemu Adam Kuambiana upo katika viwanja vya Leaders Club katika kuagwa na wananchi. 

Wasanii wakiingiza jeneza lililobeba mwili wa marehemu kwaajili ya kuagwa.
Baadhi ya wasanii wa filamu wakiwa na nyuso za majonzi.
Baadhi ya wasanii wa filamu wakiwa na nyuso za majonzi.
Mhe. Mstahiki Yusuph Mwenda, meya wa manispaa ya kinondoni akiwasili eneo la tukio.
Wengine wapo busy...
Chanzo: Habari na matukio blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI