Msanii mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ akichati uku maombi yakiendelea
MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ amenaswa akichati kwenye simu wakati viongozi wa dini wakishusha maombi mazito.Tukio hilo lililowachefua baadhi ya waumini lilitokea hivi karibuni katika Uwanja wa Shule ya Msingi Saba Saba, mjini Moro ambapo Masanja aliyekuwa meza kuu, wakati wenzake wakiongoza sala ya kufungua kongamano hilo, yeye alikuwa bize na simu.Monday, May 12, 2014
MMMH! KWELI USANII SI MCHEZO...MASANJA ADHIHIRISHA USANII WAKE...CAMERA ZAMNASA AKICHATI HUKU MAOMBI YAKIENDELEA
10:20 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WIMBO wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. Wimbo huo al...
-
Let me start by stressing this,its a WHITE PARTY,people! Not Black,Not Blue and Not Red...WHITE Party! Here are some of the ideas you c...







0 comments:
Post a Comment