Thursday, May 29, 2014

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR ***PICHA***

Wazee wa timu ya Ujamaa Spots Club ya Rahaleo iliyopata Ubingwa Wilaya ya Mjini msimu huu wakiwa katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi walipokwenda kwa ajili ya kupongezwa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed katikati akibadilishana mawazo na Wawakilishi wakwanza kulia ni Saleh Nassor JumaJimbo la Wawina kushoto ni Subeit KhamisJimbo la Micheweninje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Rashid Seif Sileiman kushoto akibadilishana mawazo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdillahi Jihad nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Muwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Ali katikati pamoja na viongozi wengina wakiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Timu ya Mpira ya Ujamaa Spots Club nje ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI