Tuesday, May 20, 2014

HATIMAYE MBEYA WAFANIKIWA KUMKAMATA CHATU ALIYEKUWA TISHIO KWA WANANCHI


Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka akimuonesha chatu huyo.
Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia
Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI