Wednesday, April 9, 2014

UWANJA WA TAIFA YANGA INAONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA KAGERA, SASA NI KIPINDI CHA PILI

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza, akishangilia bao lake aliloifungia timu yake katika dakika ya 3 ya mchezo, baada ya pasi nzuri iliyopigwa na Mrisho Ngasa, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaoendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Hivi sasa mpira ni mapumziko, Yanga inaongoza mabao 2-0 huku bao la pili likifungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 34.
Didier Kavumbagu (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Kagera Sugar, Ernest Mwalupani.
Didier Kavumbagu, akifunga bao la pili katika dakika ya 34.
Didier Kavumbagu, akishangilia bao lake la pili.
Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao la pili.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI