Monday, April 28, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA SALAMU ZA MUUNGANO KUTOKA ANGOLA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka kwa Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos uliowasilishwa kwake na Waziri wa Serikali za mitaa (local Governments) Mhe. Bornito De Sousa ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha sherehe hizo, tar 26Apili 2014.
(Picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI