Wednesday, April 16, 2014

RAIS DK.SHEIN ALIPOZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,MAKAAZI,MAJI NA NISHATI

  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya  Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein (katikati)  akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Makaazi,Maji na Nishati, katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar. 
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI