Wednesday, April 9, 2014

RAY C ALIPOMTEMBELEA IBRA DA HUSTLER KWENYE KITUO CHA KUSAIDIA WALIOUMIZWA NA DAWA ZA KULEVYA

1
Rehema Chalamila ‘Ray C’ baada ya mchakato wakutafuta logo kwa ajili ya foundation yake ya kupambana na kusaidia vijana wasiingie kwenye matumizi ya dawa za kulevya hatimaye ameanza kazi.

Ray C ametembelea kituo cha vijana walioamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na tabia hatarishi huko Kigamboni ambapo kwenye kituo hicho Ray C alikutana na msanii aliyekua wa Nako II Nako Ibra Da Hustler.
Ibra yupo kwenye kituo hicho na vijana wengine walioachana matumizi ya dawa za kulevya ambapo Ray C amemuhoji hivyo hiyo interview itaonekana kwenye program inayoandaliwa na foundation yake.
2
3
5
Ibra akiwa na Ray C.

eee
6
4

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI