Sunday, April 6, 2014

MKE MTARAJIWA WA HEMEDY PHD ANAYETAKA KUMUOA

“So proud to call you my woman…..its official,” aliandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka katika ukurasa wake wa Facebook.


Wakati huo huo, Hemedy ametangaza ujio wa single yake mpya, On My Wedding Day.

“So proud to announce my new coming single “on my wedding day” produced by sei records…inatoka mwezi wa 4/2014..after single ya rest of my life this is my brand new song…#coming soon.”
Haya bhana, nasisi ULIMWENGU WA HABARI tunakutakia kila la kheri katika mipango ya harusi yenu!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI