Sunday, April 13, 2014

MIUNDO MBINU YAHARIBIWA DSM: DARAJA LA MATUMBI BARABARA YA MANDELA LILIVYOVUNJIKA

Dar Es Salaam, Hivyo ndivyo hali ilivyo kwasasa katika eneo hilo la daraja la matumbi lililopo barabara ya Mandela Ubungo kuelekea Buguruni ambalo limetenganishwa hivyo kwa daraja kukatika kwasababu ya maji yanayopita eneo hilo kuzidi nguvu nguzo za daraja.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI