Sunday, April 6, 2014

MATUKIO YA UCHAGUZI KATIKA JIMBO LA CHALINZE

Moja ya vituo vya kupigia kura (Ofisis ya Maji Changa 1.) katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze, kikiwa katika nyumba ya kada wa CCM, Issa Mbogo, iliyopo Kijiji cha Changa, kilivyokutwwa jana. Hayo ni moja ya malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wagombea.
Mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey akizungumza na mawakala wakati alipokuwa akitembelea vituo katika zoezi la upigaji kura
Mmoja wa wapiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze, Sabina akitumbukiza karatasi ya kura kumchagua mbunge wa jimbo hilo, katika uchaguzi
Na Chadema blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI