Mganga mkuu wa mkoa wa Mbeya Dk Seif Mhina akimkaribisha mgeni rasmi
|
Mratibu (PSI) kanda ya nyanda za juu kusini Elia J. Ndutila akitoa taarifa fupi kwa mgeni rasmi amesema watu 30,000 na 60,000 hufa kwaMalaria kwa mwaka na kundi kubwa linalo adhirika ni watoto waliochini ya umri wa miaka mitano na kina mama wajawazito.
|
Mratibu Malaria mkoa wa Mbeya Salehe Mwango akisoma taarifa fupi kwa mgeni rasmi
|
Wamiliki na wahudumu wa vituo vy afya vya binafsi wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi katika uzinduzi huo
|
Nassoro s Mohamed Mtaalamu wa Afya PSI Kanda ya nyanda za juu kusini akifafanua jambo kwa wamiliki wa vituo binafsi vya afya katika uzinduzi huo
|
kipimo cha haraka cha malaria-mRDT
|
Picha ya pamoja Na Mbeya yetu |
0 comments:
Post a Comment