Wednesday, April 16, 2014

HARUSI YA MTOTO WA RAIS WA NIGERIA YAENDELEA KUWA GUMZO MITAANI

Zawadi walizopewa wageni waalikwa katika harusi hiyo. 
Mifuko ya zawadikwa wageni waalikwa ambapo ilikuwa ni simu aina ya Iphone 5 zilizonakshiwa kwa madini ya dhahabu. Chezea M-Nigeria wewe!!!


Picha ya wawili hao
Faith Sakwe Jonathan, binti wa rais wa Nigeria, Rais Goodluck Jonathan ameolewa tangu wiki iliyopita huko Abuja na mumewe Godswill Osim Edward. 
Ikiwa ni habari iliyoshika vichwa vingi vya waafrika, habari hii ilirushwa moja kwa moja hapa namaanisha live  kabisa bila chenga na TV ya taifa ya Nigeria.
Inaaminika kwamba waNigeria wana jali sana ndoa kuliko mataifa mengine duniani. 
Pia, kwasababu Ya waasi wa BOKO HARAM ulinzi ulikua ni wa hali ya juu sana, yan ilikuwa hatari ukionekana unajimuvuzisha ovyo eneo la tukio…!
Staili hii ya kutoa zawadi kwa wageni waalikwa imeonekana kupata chat sana kipindi hiki kwani hata Kanye na mkewe mtarajiwa Kim watagawa zawadi kibao siku ya harusi yao.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI