Monday, April 28, 2014

HAPANA CHEZEA MAKOMANDOO WA JESHI LA JWTZ… ILIKUWA NI KATIKA SHEREHE ZA MUUNGANO

Makomandoo wakionyesha
 namna ya kupambana bila 
kutumia nyenzo 
hapa wakivunja matofali
 kwa kutumia 
kichwa na mikono.

Baadhi ya silaha zakijeshi 
zikipitishwa 
mbele ya umati kuonyesha 
uwezo mkubwa wa jeshi letu.

 Kikosi cha Wanamaji.

 Ndege za kivita zikilinda 
Ndege ya Rais katika 
maonyesho ya Ndege 
yaliofanyika kwenye Kilele 
cha  Maadhimisho ya 
miaka 50 ya Muungano.

 Askari wa kikosi cha 
Mwamvuli akishuka kutoka 
futi 4500 kwenye 
uwanja wa Uhuru kwenye 
kilele cha miaka 50.

 Rais Jakaya Mrisho 
Kikwete akimpa mkono
 wa pongezi 
mmoja wa wanajeshi 
wa kikosi cha mwamvuli .



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI