Thursday, April 3, 2014

FILAMU YA JICHO LANGU SASA IKO MADUKANI

ILE siku tuliyokuwa tukisuribi sana sasa imefika, hatimaye filamu ya JICHO LANGU imetoka siku ya leo. Sasa unaweza kujisogeza taratibu madukani kujipatia nakala yako. Usisubiri wenzako waangalie ndipo usimuliwe, wewe unatakiwa kuwa wa kwanza kuwasimulia wenzanko juu ya kile utakachokiona katika filamu hii ambayo Watanzania wengi na wana Afrika Mashariki  wamekuwa wakiisubiri kwa hamu sana. 

Filamu hii imetengenezwa na kampuni ya 
J-FILM 4 LIFE
Ina wahusika kama Odama pamoja na wasanii wengi maarufu ambao umewasikia.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI