Sunday, April 27, 2014

CHEKI PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO, WANAJESHI WALIVYOTIA FORA

Rais Jakaya Kikwete, 
akikagua gwaride...
Paredi la askari.
likiwa ni tofauti na ilivyozoeleka...
Moshi wa rangi...
Ndege za kijeshi zikipita kwa speed ya ajabu...
Askari wa Jeshi akishuka kwa Parachuti....
Askari wa Miamvuli wakishuka 
kutoka umbali wa Futi 4000.....
Watoto wa Halaiki...
Wasanii wa miziki tofauti tofauti 50, walioshirikiana kuimba wimbo 
maalum wa miaka 50 ya Muungano 
wa Tanzania, wakitoa burudani 
wakati wa sherehe hizo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI