Sunday, April 6, 2014

ANGALIA HAPA LIST MPYA YA MATAJIRI AFRIKA, WATANZANIA WANNE NDANI

List hii imetolewa na mtandao wa Forbes maarufu duniani kwa kutoa taarifa kama hizi, ambapo mtandao huo umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.
 
List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI