Tuesday, March 11, 2014

SWAGA ZA WAFUASI KTK KAMPENI ZA CCM IRINGA

ccm3_96a4f.jpg
Mmoja kati ya wafuasi wa CCM (hayupo pichani) akiwa amepaki baiskeli yake yenye bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika kitongoji cha Tosamaganga wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Godfery Mgimwa.
ccm_cff92.jpg
Dereva wa boda boda ajulikanae kwa jina la Njunguli Mwakasege akiwa amepozi kwenye pikipiki yake wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM zilizofanyika Tosamaganga.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI