Monday, March 17, 2014

SHANGWE YA USHINDI WA CCM KALENGA




SHANGWE ndelemo na vifijo ndivyo vinavyotawala maeneo mbali mbali ya jimbo la Kalenga na eneo la ofisi za CCM mkoa wa Iringa baada ya Mgombea wake, Godfrey Mgimwa kuongoza kwa kura nyingi katika matokeo ya awali.

Mpaka sasa Mgimwa anaongoza katika kata 11 kati ya 13, za jimbo la Kalenga huku Chadema wakifuatia kwa mbali.

Picha zote kwa hisani ya matukiodaima.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI