Friday, March 28, 2014

RAIS KIKWETE AWAHUTUBIA WANANCHI WA MUHEZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni.Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo. Picha na Freddy Maro

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI