Kutoka kushoto ni Katibu wa Bunge maalum la Katiba Bwana Yahya Khamis Hamad,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel Sitta,Makamu Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mh. Samia Suluhu, Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Sefu Iddi, Naibu Katibu wa Bunge Maalum Dkt. Thomas Kashilila na kulia ni Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la katiba aliyemaliza muda wake Mh.Pandu Ameir Kificho
(Picha na Freddy Maro).Friday, March 14, 2014
RAIS DKT. KIKWETE NA VIONGOZI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA DODOMA
5:58 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
1. Wema Sepetu Wakati mwingine si kitu rahisi kupima ushawishi lakini tutaangalia ni wazo mawazo gani ya mtu, mifano gani ya mtu, kipa...
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalumu kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS ...






0 comments:
Post a Comment