Friday, March 14, 2014

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI SERIKALINI

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/E/33 11 Februari, 2014

KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 06 hadi 29 Januari, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Waajiri wao kama ilivyooneshwa katika tangazo hili.

Wanatakiwa kuripoti vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na Waajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.

Aidha, kwa wale ambao majina yao hayakuoneka katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara Wanatakiwa kuripoti vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na Waajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.

Aidha, kwa wale ambao majina yao hayakuoneka katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.
Tembelea katika tovuti ya Ajira kuweza kupata majina. ***www.ajira.go.tz***

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI