Tuesday, March 11, 2014

LEMA APIGWA BUTWAA JIMBONI KALENGA



Mjumbe wa kamati kuu chadema na mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema, akiongea kwa masikitiko makubwa jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni Kalenga katika  kata ya Maboga kijiji cha Kiponzelo alipomuona mtoto ambaye ana umri unaolingana na wa mwanae akiwa katika hali hiyo huku mbunge aliekuwepo akiliongoza jimbo hilo akiwa ni waziri wa fedha, na zaidi ni kuwa mtoto huyo angali hajui kitu kinachoitwa shule au darasa.

Kwa hisani ya kalumbimbi blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI