Monday, April 22, 2013

WAZIRI WA FEDHA DKT. WILIAM MGIMWA ALIPOTEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC

 Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akitia saini kitabu cha wageni kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya Tanzania, Washington, DC Jumamosi April 20, 2013 baada ya Ubalozi kumualika kwenye chakula cha yeye na ujumbe wake.
  Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka akiamuangalia Mhe. Waziri wa Fedha Dkt.  Wiliam Mgimwa akitia saini kitabu cha wageni, Ubalozi wa tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh, Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa, Kaimu Balozi Mhe. Lily Munanka na Afisa Ubalozi Paul Mwafongo katika picha ya pamoja na Mhe. Waziri
Chanzo: Hakingowi blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI