Viongozi mbalimbali wakiwa katika maadhimisha hayo kutoka kulia ni Rais
Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mama Maria Nyerere,
Rais wa Msumbiji Mh. Armando Guebuza,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dk. Gharib Bilal na Mzee Ali Hassan Mwinyi rais
Mstaafu wa awamu ya pili
(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM)
0 comments:
Post a Comment