Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Mr. Hiiti Sillo akiwaonesha waandishi wa habari fomu ya kukusanyia madhara ya dawa.
1.0 UTANGULIZI
a). Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni Wakala
wa Serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye jukumu la
kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa chakula, dawa, vipodozi na vifaa
tiba
ili kulinda afya ya jamii. TFDA imeweka mifumo mbalimbali...
NYUMBANI KITAIFA
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BIASHARA
Ulimwengu wa habari.
MATAIFA MENGINE
Ulimwengu wa habari.
KATIKA BURUDANI
Ulimwengu wa habari.
MAAJABU DUNIANI
Ulimwengu wa habari.
Wednesday, October 31, 2012
TUNAENDA SHULE JAMANI!
5:20 AM
No comments
Kamera yetu Mtaani ilifanikiwa kupata picha ya Wanafunzi wa shule ya msingi Mkwalia Kitumbo wilaya ya Mkuranga Mkoani pwani wakilazimika kuvua viatu pindi wanapotaka kuvuka dimbwi la maji, wakiwa wanaelekea shuleni kwao. (Picha na Ochieng Gad Ogwe...
Monday, October 29, 2012
HONGERA DKT. AYOUB RIOBA
12:59 PM
No comments

Dkt. Ayoub Rioba akihutubia muda mfupi baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari wa falsafa (PHD) katika fani ya falsafa ya jamii chuo kikuu cha Tampere katika jiji la Tampere, Finland.
Hapa Dkt. Ayub Rioba (University of Dar es salaam - School of Journalism and Mass Communication) Kushoto, Prof Kaarle Nordenstreng (University of Tampere, Finland) Katikati, Prof. Audrey Gadzekpo (Accra University, Ghana) mwishoni kulia. Dkt. Rioba alikuwa akijibu...
USAFIRI WA RELI WAANZA DAR
12:56 PM
No comments

Wananchi wafurahia Dkt. Mwakyembe awa abiria wa kwanza
Normal
0
false
false
false
EN-US
JA
X-NONE
...
POLISI DAR WAKAMATA NYARA ZA SERIKALI
12:52 PM
No comments

Normal
0
false
false
false
EN-US
JA
X-NONE
...
Sunday, October 28, 2012
SJMC NIGHT ILIVYOKOSHA NYOYO ZA WENGI.
12:58 PM
1 comment

vvvvKufahamu mazingira yanayokuzunguka huwa ni jambo jema sana kwa binadamu kwani humpa mwanadamu kujiamini kwa kile anachokifanya katika mazingira aliyopo.
Kufahamiana na watu aliowakuta katika mazingira hayo mageni pia huleta faraja na amani kwani hupata kujua historia mbalimbali za eneo hilo; watu, viumbe au hata vitu ambavyo vimeshawahi kuishi katika eneo hilo, na vinavyoendelea kuishi.
Vilevile moja kati ya vitu muhimu duniani ambavyo binadamu...
Subscribe to:
Posts (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WENGI wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Ki...
-
KATIKA pita pita mtandaoni tumekutana na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na ku...
-
NURU THE LIGHT SHAMSA FORD LULU SHAA JOKATE
-
Mmoja kati ya wafungwa waliohamishwa kutoka Guantanamo Bay akisalimiana na ndugu zake MAREKANI imewaachia baadhi ya wafungwa wa Yemen ...
-
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kw...