NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Wednesday, June 10, 2015

WAZIRI BERNARD MEMBE AJINYAKULIA WADHAMINI

 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akishangiliwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, mara baada ya kufika ofisi hapo akitokea mjini Dodoma.
 Umati wa wanachama waliojiokeza kumpokea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe.
Mama Dorcas Membe akiwasalimia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi, Ali Mtopa akiwasalimia wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo.
Wanachama wakifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwa na Mkewe Dorcas Membe mara baada ya kufika ofisi za CCM) Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akisalimia na wananchama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) na mkewe Dorcas (kushoto) wakifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiteta jambo na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Katibu wa CCM Mtwara mjini, Modesta Mwaya akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia), fomu zilizotiwa saini na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara mjini, waliofika kwenye Ofisi hizo Juni 08.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

CHEKI NGOMA YA JAFFARAI FT. KASSIM MGANGA - WAKATI (OFFICIAL VIDEO)




DAIMOND PLATNUM..! AWAJIA MASHABIKI NA NGOMA ZAKE MASIKIONI MWAO…!

Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50 Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.
Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.’ Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. 
“Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond. “Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats .”

BALOZI AMINA ATUA PEMBA KUSAKA WADHAMINI *PICHAZ*

 BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa mataifa anaeliwakilisha bara la Afrika  Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo tofauti, kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, alipowasili kisiwani humo kwa ajili ya kusaka wadhamini.
 BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa mataifa anaeliwakilisha bara la Afrika  Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na wadhamini wake wa mkoa wa kaskazini Pemba.
BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa mataifa anaeliwakilisha bara la Afrika  Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akionyesha majina ya wanaccm waliomdhamini wa mkoa wa kusini Pemba.
#Picha na Haji Nassor, Pemba

ISIKILIZE NA UIPAKUE TRACK MPYA YA OCHU SHEGGY – DUMANGE *AUDIO*

ochuuu1 sheggy

ITAZAME BRAND NEW VIDEO YA DAVIDO X MEEK MILL – FANS MI

Davido-Meek-Mill-640x440

MTANGAZAJI DINA MARIOS ANENA MAZITO, INASIKITISHA SANA... SOMAALICHOKISEMA HAPA!


ZILIZOSOMWA ZAIDI