Baada ya kimya kirefu, msanii mkongwe wa Bongo Fleva Abby Skillz ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Averina’ aliomshirikisha Alikiba na Mr Blue. Video hiyo imeongozwa na director Pablo. Tazama video hiyo hapa chini.
Saturday, October 29, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
TV 1 imekuwa ni runinga inayoshika kasi sana hapa mjini kitu kinachotishia hata uwepo wa wale wakongwe hapa mjini, mwishoni mwa mwezi ulio...
-
Neymar Baada ya kipigo cha goli 4 kwa bila kutoka kwa wapinzani wao Barcelona, habari za chini chini zilianza kusambaa kuwa Real Madr...
-
Staa wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford. **** STAA wa Filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa kutokana na kupenda watoto anaona...
-
Gazeti la The Sun lilimuweka kwenye headlines mkali wa kucheka na nyavu wa Man United , baada ya kumuandika kuhusu stori za usaliti wa...
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...







0 comments:
Post a Comment