Tuesday, October 20, 2015

RAIS KIKWETE AKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI MAPYA 399 KATIA YA 777 YALIYOAGIZWA

 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam.
#PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI