Tuesday, September 15, 2015

WATANZANIA WANAIPENDA TANZANIA - NCHEMBA

 
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akizungumza na waandishi wa habari juu ya Watanzania wanaoipenda Tanzania wakisha maliza kutimiza wajibu wake wawapishe waendelee kutimiza haki zao za msingi za kupiga kura, ameyasema katika Hoteli ya Serena leo Jijini Dar es Salaam.
 
Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu  Hamad M. Hamid akizungumza na ziongozi mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam kushoto ni Mwenyekiti wa Mdahalo  Dk Ayub Rioba.
 
Makamu Mkurugenzi wa (NEC) Jaji Mustafu  Hamad M. Hamid akizungumza na viongozi mbalimbali wadini pamoja na viongozi wa Siasa juu ya zoezi la uchaguzi kuwa la amani na utulivu leo Jijini Dar es Salaam kushoto ni Mwenyekiti wa Mdahalo  Dk Ayub Rioba.
 
Katibu Mkuu wa  (TLP), Nancy Mrikaria akisisitiza jambo katika mdahalo huo. 
Baadhi ya viongozi Mbalimbali wakiwa katika mdahalo huo leo Jijini Dar es Salaam . 
#Picha na Emmanuel Massaka

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI