Thursday, September 3, 2015

MCHEKI DR. SLAA AKIWA NDANI YA NDEGE AKIELEKEA UGHAIBUNI BAADA YA MKUTANO WAKE NA WAANDISHI WA HABARI *PICHAZ*

Dr Slaa akiwa ndani ya Ndege akielekea ughaibuni.
Nayakumbuka sana maneno ya Mwenyekiti Mbowe, aliwahi kusema "...Safari ya ukombozi ni sawa na safari ya treni linanalo kwenda Kigoma, wapo watakao shukia na kupandia Pugu, Morogoro, Dodoma, Tabora nk, lakini mwisho wa siku lazima safari indelee mpaka Kigoma... "
Akasema sema tena "... Ikitokea mmoja kati yetu akafa msilie, wekeni maiti yake pembeni kwa heshima kisha msonge mbele... "
Wish you well Dear Dr. Nitaendelea kukuheshimu lakini mapambano yanaendelea.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI