Tuesday, September 15, 2015

MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA MKOANI TABORA *PICHAZ*

Magufuli akiwa katika Jimbo la Ulyanhulu.
Magufuli akiomba kura kwenye Jimbo la Kaliua.
Magufuli akiomba kura Jimbo la Urambo.
Afande akidumisha usalama katika kampeni za Magufuli.
Aliyekuwa Mbunge wa Sikonge, Said Mkumba (kulia) na baadaye kuhamia Chadema leo amerudi CCM na kumkabidhi kadi yake Magufuli na kutangaza kumsapoti mgombea huyo.
Magufuli akionesha kadi aliyorudisha Mkumba.
Usalama ukiwa umeimarishwa kwenye mkutano huo.
Umati ukisikiliza sera za Magufuli katika Jimbo la Ulyanhulu.
wasanii wa Jimbo la Urambo wakinogesha mambo.
Wazee wa Sikonge wakifurahia sera za Magufuli.
 
*******
Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli leo aliendelea na kampeni zake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora.
Baadhi ya maeneo aliyofika Magufuli kuomba kura ni pamoja na Sikonge, Ulyanhulu, Kaliua na Urambo.
Katika kampeni hizo Magufuli alimwaga sera za kuwainua kiuchumi wananchi hao ambapo wanachama kadhaa kutoka vyama mbalimbali walirudisha kadi zao kwa Magufuli na kujiunga ramsi CCM.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI