Monday, September 14, 2015

MAFUNZO YA UTUMIAJI RAHISI NA NAFUU KWA AJILI YA UTEGENEZAJI WA MISHAHARA KUDHIMITI SIRI KWA WASIOHISIKA

 Mratibu wa Mafunzo ya kutumia mitandao kupitia ICT Ndg.Suweid Haji, akitowa Mada kuhusu utengenezaji wa Mishahara kwa njia ya mtandao bila ya kujuwa asiye husika iliobuniwa na Taasisi ya SHR Cretivety mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Umoja wa Walemavu Zanzibar. na kuwashirikisha Wahasibu kutoka sehemu mbalimbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi Zanzibar.
 Muwezeshaji wa Mafunzo hayo Ndg Suweid Haji akitowa mada wakati wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wahasibu jinsi ya utengenezaji wa mishara kwa njia rahisi.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo hayo wakifuatilia Mada iliku.wa ikiwasilishwa na Mtoa Mada Ndg Suweid Haji Mratibu wa mafunzo hayo.yaliofanyika katika Ukumbi wa Umoja wa Walemavu Weles Unguja  




 Afisa wa Habari wa Mfuko wa Jamii Zanzibar Ndg Abdalla Juma akitowa umuhimu wa Wafanyakazi kujiwekea Akiba kakita mfuko wa ZSSF, wakati wa kustaafu kwao. 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI