Baada ya kufanya show kali ya ufunguzi kwenye tuzo za MTV VMA’s 2015, Taylor Swifthajaona sababu ya kuishia hapo, Taylor karudi na hii mpya mtu wangu inaitwa ‘Wildest Dreams’, wimbo huu unapatikana kwenye Album yake mpya ‘1989’.
Kama video ya wimbo huu bado haijakufikia karibu utizame hapa chini.
0 comments:
Post a Comment