Monday, September 7, 2015

ACT WAZALENDO WALIVYOFANYA YAO HUKO KIGOMA *PICHAZ*


Kampeni meneja Habibu Machange akiongea na wakazi wa mji wa Kigoma

 
Moses Machali akiongea na wana Kigoma
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mama Anna Mgwira akiongea na wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini,jimbo ambalo Zitto Kabwe anawania Ubunge

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI