BAADA ya kushuhudia wasanii wenzake wakijiingiza katika siasa na
kuanguka, staa wa muziki na filamu, Baby Madaha ametia akili na kusema
sasa atatulia kwani ni imani yake siku moja atajiingiza katika jukwaa
hilo.
Alisema sasa ameamua kuachana na maisha ya skendo za kila siku kwani aliumizwa sana na madai ya kutumia dawa za kulevya, kitu kilichomuumiza hadi mama yake mzazi.
“Ninajiandaa kuwa kiongozi wa kisiasa miaka ijayo, unajua hata
wenzetu walioingia kugombea uongozi wa siasa na kushindwa, ilichangiwa
na historia ya maisha yao ya kisanii, sisi ni watu wa skendo tu,
nimejifunza kitu kutokana na hilo, nimeamua kuacha utoto, sitaki tena
skendo,” alisema Baby Madaha.
Alisema sasa ameamua kuachana na maisha ya skendo za kila siku kwani aliumizwa sana na madai ya kutumia dawa za kulevya, kitu kilichomuumiza hadi mama yake mzazi.
Baby Madaha Katika Pozi |
#GPL
0 comments:
Post a Comment