Thursday, August 13, 2015

MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA

CCM sio baba yangu si mama yangu, Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ndiyo maneno aliyoyatumia Khamis Mgeja alipokua kizungumuza na waandishi wa habari jijini Dar hivi punde alipotangaza uamuzi wake wa kukihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI