Tuesday, August 25, 2015

HIZI NI PICHA ZA MESUT OZIL NA MISS UTURUKI ZINAZOZUA HOFU KUHUSU UKARIBU WAO

AMINE-GULSE
Miss Uturuki Amine Gulse
Picha ambazo zimekuwa zikizunguuka katika vyombo vya habari mbalimbali Uturukizikimuonesha kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Mesut Ozil ameonekana akiwa na miss Uturuki kitu ambacho kinazua maswali mengi huenda wanamahusiano ya Kimapenzi.
mesut-ozil-getty_2830088b
Taarifa hizo zinakuja ikiwa masaa kadhaa yamepita  toka beki wa zamani wa klabu ya Manchester United Gary Neville ahoji kuhusu mchango wa kiungo huyo katika klabu ya Arsenal ya Uingereza kabla ya mechi ya Liverpool dhidi ya Arsenal ambayo ilimalizika kwa 0-0.

PAY-Mesut-Ozil (1)
PAY-Mesut-Ozil

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI