Thursday, August 27, 2015

ELIMU YA UJASIRIAMALI YATOLEWA SINGIDA

 Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada ya Ujasiriamali kwa wanasemina wa Kikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo ya Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mh. Said Ally akiongea na wanasemina katika mafunzo ya upandaji miti, ufugaji bora wa nyuki na Ujasiriamali iliyofanyika katika ukumbi wa Luluma Singida hivi karibuni.
Mgeni  rasmi wa pili kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha Wirwana Association For Empowerment and Development Tanzania mara baada ya mafunzo Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment