Monday, August 24, 2015

DIAMOND PLATNUMZ KUWANIA TUZO ZA AFRICAN YOUTH CHOICE ZA NIGERIA

diamond.JPG 3
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz ambaye ameshakamilisha collabo yake na Neyo kutoka Marekani ametajwa kuwania tuzo za African Youth Choice Za Nigeria kwenye vipengele viwili ambavyo ni. Msanii wa Mwaka na Msanii bora wa kiume.
diamond

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI