Saturday, July 4, 2015

RAIS BORA AFRICA APATIKANA..ANATOKA AFRIKA MASHARIKI…!!!

Muungano wa Wanavyuo Barani Africa AASU umemchagua Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Kuwa Rais Bora wa Bara la Afrika 2014/2015 ...
Kabla yake alikuwa Rais Paul Kagame wa Rwanda...

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI