MFALME wa Uswahilini, Wanamuita Msaga Sumu huku kwetu uswahili tunamjua sana si jambo la kushangaa maeneo ya Chamwino,Mafisa, Msamvu, Kichangani, Mwembesongo na mpaka sasa amevuka kila mahali sio tena uswahilini tu sasa mpaka ushuani wenyewe wanamuelewa, hakika ukisikia nyimbo zake hata kama ulikuwa hupendi miondoko hiyo basi utajikuta unatingisha hata kichwa na kujikuta unaanza kuipenda taratiiiiiiiiiiiibu, sasa tazama hii moja ya Show ambayo ame perform.
Friday, April 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WIMBO wa Watora mari ni moja kati ya collabo ambayo itabaki kuwa na heshima kwa Jah Prayzah katika maisha yake ya muziki. Wimbo huo al...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Let me start by stressing this,its a WHITE PARTY,people! Not Black,Not Blue and Not Red...WHITE Party! Here are some of the ideas you c...






0 comments:
Post a Comment